LEAH WHO SURVIV£D KELVIN KIPTUM ACC!DENT WANT TO MEET KIPTUM'S WIFE - glimmergame.com

LEAH WHO SURVIV£D KELVIN KIPTUM ACC!DENT WANT TO MEET KIPTUM’S WIFE

Wasos Tv
Views: 37624
Like: 188

55 Comments

 1. Na yule mjaluo yuko na mtoto wa Kelvin? Yule ndio uso yake na words inasema ukweli wewe ulikwa ni pesa or unatafuta ufemous.ndani yako no ukweli ata kidogo

 2. You are just a foolish lady. Ungejinyamazia tu.

 3. Please wachana na hayo maneno kabisa ebu mpe mjane nafasi na utulivu Ili aanza upya majukumu yake tuwatunza watoto na Boma yao

 4. Really mpatane isaidie Nini mtu ashaa kufa kueni serious huna ata mtoi na yeye furahia wat you were left with period

 5. Kelvin ameanza kudai mali yake irudishiwe mke wake kama gari na biashara zake

 6. Kwani huyu mwanaume alikua malaya ama hii ni content 😂😂 ?

 7. Basi mpatie hiyo gari na businesses alee watoto kashetani haka

 8. Kwani huyo kiptum , eiiiiuuu😂😂😂😂😂

 9. Mmefanya tuone hata kumbe kiptum alikua mtu ovyo sana, so sad😢

 10. Ishidwe hii shaitani, anataka waongee😂nini? Home-wrecker!

 11. Women will start roasting their own. read the comments

 12. Media kuweniserious aki hii shetani mmeleta ya nini?

 13. What's the objective of this interview?

 14. Wtf 🤬 shame on you 🤬🤬🤬🤬🤬what the hell you think you are!!!!!

 15. Mumebaki na Nani Kwani wewe ni mke WA kiptum jinga mkubwa

 16. Muongee kuhusu nini, 🤷‍♀️🤷‍♀️🤔 ghasia, bladifakin

 17. Kuongea n yeye akuoe ama akufanye nini ,achana na huyu mama pliz ,acheni kuumiza mwingine pliz🫤🫤🫤

 18. Saaa huyu nyoka mchane,, anasema nn surely 😅😅

 19. Aki men…na Bibi Hana anything??????
  I have no words.

 20. Why are people so inhuman nkt please let the poor woman mourn in peace

 21. What air are you clearing now? SHAME ON YOU side chick

 22. Wacha2 nikae single 😢😢😢sitaki stress

 23. Hio ngari na hio bzna zitaisha kama upepo ,enda ufufue Kelvin mmeet na sidechick Mkue na adabu

 24. Rudisha hiyo gari upatie bibi yake kama we ni mungwana.

 25. Kipkendabei kimulayat. Sahii ndio unataka kumalizia mke wa kiptum… Pesa za kuchukua kwa majuju… Mourn my Kelvin you dont look one man government you look like bora mtu umalize. Na next tafuta wigs za maana sio hio ya kuomba

 26. 😢😢😢😢😢 aki wanaumme wote ni mandungu vile prince inda aliimba.

 27. The only thing we like to onow from you was you on the front sear, have you drank ?

 28. Instead of building her goats wife a house he had a gap of buying this girl a vehicle, that's why sometimes God gets angry? no njuka narrate ithiraga ona ihenya

 29. Hawa ndio walinivunjia ndoa yangu,,hutawahi ona mbingu,,nateseka na watoto alone 😢😢😢

Leave a Reply

Your email address will not be published.